Dominika ya 5 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 14:21b-27Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 145:8-13Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, Nitalihimidi jina lako milele na milele.
Bwana ana fadhili, ni mwingi wa huruma,
Si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema,
Bwana ni mwema kwa watu wote,
Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
K. Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, Nitalihimidi jina lako milele na milele.
Ee Bwana, kazi zako zote zitakushukuru,
Na wacha Mungu wako watakuhimidi.
Wataunena utukufu wa ufalme wako,
Na kuuhadithia uweza wako.
K. Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, Nitalihimidi jina lako milele na milele.
Ili kuwajulisha watu matendo yake makuu,
Na utukufu wa fahari ya ufalme wake.
Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote,
Na mamlaka yako ni ya vizazi vyote.
K. Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, Nitalihimidi jina lako milele na milele.
Somo la Pili
Ufu 21:1-5aNeno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 13:34Bwana asema: Amri mpya nawapa, Mpendane, kama vile nilivyowapenda ninyi.
Aleluya
Injili
Yn 13:31-33a, 34-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni