Kumbukumbu ya Mt. Katarina wa Siena
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 4:23-31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 2:1-3, 4-7A, 7B-9Heri wale wanaomkimbilia Mungu
Mbona mataifa wanafanya ghasia,
Na makabila wanatafakari ubatili?
Wafalme wa dunia wanajipanga,
Na wakuu wanafanya shauri pamoja,
Juu ya Bwana, Na juu ya masihi wake.
Na tuvipasue vifungo vyao,
Na kuzitupia mbali nasi kamba zao.
K. Heri wale wanaomkimbilia Mungu
Yeye aketiye mbinguni anacheka,
Bwana anawafanyia dhihaka.
Ndipo atakaposema nao kwa hasira yake,
Na kuwafadhaisha kwa ghadhabu yake.
Nami nimemweka mfalme wangu Juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.
Nitaihubiri amri; Bwana aliniambia,
K. Heri wale wanaomkimbilia Mungu
Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako,
Na miisho ya dunia kuwa milki yako.
Utawaponda kwa fimbo ya chuma,
Na kuwavunja kama chombo cha mfinyanzi.
K. Heri wale wanaomkimbilia Mungu
Injili
Yn 3:1-8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni