Alhamisi ya Oktava ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 3:11-26Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 8:1, 4-8Wewe, Mungu, Bwana wetu
Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Wewe umeuweka utukufu wako mbinguni;
Mtu ni kitu gani hata umkumbuke,
Na binadamu hata umwangalie?
(K)Ee, Mungu, Bwana wetu; jinsi lilivyo tukufu jna lako duniani mwote.
Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu;
Umemvika taji ya utukufu na heshima;
Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako;
Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
(K)Ee, Mungu, Bwana wetu; jinsi lilivyo tukufu jna lako duniani mwote.
Kondoo, na ng'ombe wote pia;
Naam, na wanyama wa kondeni;
Ndege wa angani, na samaki wa baharini;
Na kila kipitacho njia za baharini.
(K)Ee, Mungu, Bwana wetu; jinsi lilivyo tukufu jna lako duniani mwote.
Injili
Lk 24:35-48Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni