Jumatatu ya juma la saba la Mwaka C
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Yak 3:13-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 19:7-9, 14Sheria ya Bwana ni kamilifu, Huiburudisha nafsi.
Ushuhuda wa Bwana ni amini, Humtia mjinga hekima.
(K)Maagizo ya Bwana, huufurahisha moyo
Maagizo ya Bwana ni ya adili, Huufurahisha moyo.
Amri ya Bwana ni safi, Huyatia macho nuru.
(K)Maagizo ya Bwana, huufurahisha moyo
Kicho cha Bwana ni kitakatifu, Kinadumu milele.
Hukumu za Bwana ni kweli, Zina haki kabisa.
(K)Maagizo ya Bwana, huufurahisha moyo
Maneno ya kinywa changu, Na mawazo ya moyo wangu,
Yapate kibali mbele zako, Ee Bwana, Mwamba wangu, na mwokozi wangu.
(K)Maagizo ya Bwana, huufurahisha moyo
Shangilio la Injili
2Tim 1:10Mwokozi wetu Kristo Yesu; aliyebatili mauti, na kuufunua uzima na kutokuharibika, kwa ile Injili;
Aleluya
Injili
Mk 9:14-29Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni