Dominika ya 1 ya Kwaresima
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kumb. 26:4-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 91:12, 10-15Ee Bwana, uwe pamoja nami katika taabu zangu.
Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu,
Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.
Nitasema, Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu.
K. Ee Bwana, uwe pamoja nami katika taabu zangu.
Mabaya hayatakupata wewe,
Wala tauni haitaikaribia hema yako.
Kwa kuwa atakuagizia malaika zake
Wakulinde katika njia zako zote.
K. Ee Bwana, uwe pamoja nami katika taabu zangu.
Mikononi mwao watakuchukua,
Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Utawakanyaga simba na nyoka,
Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.
K. Ee Bwana, uwe pamoja nami katika taabu zangu.
Kwa kuwa amekaza kunipenda
Nitamwokoa; na kumweka palipo juu,
Kwa kuwa amenijua jina langu.
Ataniita nami nitamwitikia;
Nitakuwa pamoja naye taabuni,
Nitamwokoa na kumtukuza.
K. Ee Bwana, uwe pamoja nami katika taabu zangu.
Somo la Pili
Rum. 10:10-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt. 4:4Injili
Lk. 4:1-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni