Ijumaa baada ya Majivu
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Isa. 58:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 51:3-4, 5-6a, 18-19Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutadharau.
Maana nimejua mimi makosa yangu,
Na dhambi yangu I mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako.
Na kufanya maovu mbele za macho yako.
K. Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutadharau.
Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu;
Mama yangu alinichukua mimba hatiani.
Tazama, wapendezwa na kweli iliyo moyoni;
Nawe utanijulisha hekima kwa siri.
K. Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutadharau.
Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako,
Uzijenge kuta za Yerusalemu.
Ndipo utakapopendezwa na dhabihu za haki;
Na sadaka za kuteketezwa, na kafara.
K. Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutadharau.
Shangilio la Injili
Ez. 18:31Injili
Mt. 9:14:15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni