Ijumaa ya 7 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ybs. 6:5 – 17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 119:12, 16, 18, 27, 34 – 35Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako, Ee Bwana.
Ee Bwana, umehimidiwa,
Unifundishe amri zako.
Nitajifurahisha sana kwa amri zako,
Sitalisahau neno lako.
K. Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako, Ee Bwana.
Unifumbue macho yangu niyatazame,
Maajabu yatokayo katika sheria yako.
Unifahamishe njia ya mausia yako,
Nami nitayatafakari maajabu yako.
K. Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako, Ee Bwana.
Unifahamishe nami nitaishika sheria yako,
Naam, nitaitii kwa moyo wangu wote.
Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako,
Kwa maana nimependezwa nayo.
K. Uniendeshe katika mapito ya maagizo yako, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Zab. 130:5Roho yangu inamngoja Bwana, na neno lake nimelitumainia.
Aleluya.
Injili
Mk. 10:1-12Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni