Jumatano ya 6 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa. 8:6 – 13, 20 – 22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 116:12 – 15, 18 – 19Nitakutolea dhabihu ya kushukuru, ee Bwana.
Nimrudishie Bwana nini
Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Nitakipokea kikombe cha wokovu,
Na kulitangaza jina la Bwana.
K. Nitakutolea dhabihu ya kushukuru, ee Bwana.
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana,
Naam, mbele ya watu wake wote.
Ina thamani machoni pa Bwana
Mauti ya wacha Mungu wake.
K. Nitakutolea dhabihu ya kushukuru, ee Bwana.
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana,
Naam, mbele ya watu wake wote,
Katika nyua za nyumba ya Bwana,
Ndani yako, ee Yerusalemu.
K. Nitakutolea dhabihu ya kushukuru, ee Bwana.
Shangilio la Injili
Efe. 1:19 – 27Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo ayatie nuru macho ya mioyo yetu, tujue tumaini la mwito wetu jinsi lilivyo.
Aleluya.
Injili
Mk. 8:22 – 26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni