Jumatatu ya kwanza ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr. 1:1 – 6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 97:1 – 2, 6 – 7, 9Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
Bwana ametamalaki, nchi na ishangilie,
Visiwa vingi na vifurahi.
Haki na hukumu ndio msingi wa kiti chake.
K. Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
Mbingu zimetangaza haki yake,
Na watu wote wameuona utukufu wake.
Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
K. Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
Maana Wewe, Bwana, ndiwe uliye juu,
Juu sana kuliko nchi yote;
Umetukuka sana juu ya miungu yote.
K. Enyi miungu yote, msujuduni Yeye.
Shangilio la Injili
1 Pet. 1:25Neno la Bwana hudumu hata milele, na neno lile jema lililohubiriwa kwenu.
Aleluya.
Injili
Mk. 1:14-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni