Jumatatu ya 7 ya Pasaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo 19:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 68:1-6Mungu huondoka, adui zake wakatawanyika, Nao wamchukiao huukimbia uso wake.
Kama moshi upeperushwavyo, Ndivyo uwapeperushavyo wao; Kama nta iyeyukavyo mbele ya moto,
(K)Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu
Bali wenye haki hufurahi, Na kuushangilia uso wa Mungu, Naam, hupiga kelele kwa furaha.
Mwimbieni Mungu, lisifuni jina lake, Jina lake ni Yahwe;
(K)Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu
Baba wa yatima na mwamuzi wa wajane, Mungu katika kao lake takatifu.
Mungu huwakalisha wapweke nyumbani; Huwatoa wafungwa wakae hali ya kufanikiwa;
(K)Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu
Shangilio la Injili
Kol 3:1Basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu Kristo aliko, ameketi mkono wa kuume wa Mungu.
Aleluya
Injili
Yn 16:29-33Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni