IJUMAA YA 6 YA PASAKA
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo. 18: 9-18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 47:1-6Mungu ndiye mfalme wa dunia yote.
Enyi watu wote, pigeni makofi,
Mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe,
Kwa kuwa Bwana Aliye juu, mwenye kuogofya,
Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
K. Mungu ndiye mfalme wa dunia yote.
Atawatiisha watu wa nchi chini yetu,
Na mataifa chini ya miguu yetu.
Atatuchagulia urithi wetu,
Fahari ya Yakobo ambaye alimpenda.
K. Mungu ndiye mfalme wa dunia yote.
Mungu amepaa kwa kelele za shangwe,
Bwana kwa sauti ya baragumu.
Mwimbieni Mungu, naam, imbeni;
Mwimbieni mfalme wetu, naam, imbeni.
K. Mungu ndiye mfalme wa dunia yote.
Shangilio la Injili
Lk 24:25-26Ilimpasa Kristo kupata mateso haya na kuingia katika utukufu wake.
Aleluya.
Injili
Yn. 16:20-23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni