Jumatano ya 34 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ufu. 15:1 – 4Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 98:1 – 3, 7 – 9Matendo yako ni makuu, Ee Bwana Mungu Mwenyezi.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Matendo yako ni makuu, Ee Bwana Mungu Mwenyezi.
Bwana ameufunua wokovu wake,
Machozi pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Amezikumbuka rehema zake,
Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
K. Matendo yako ni makuu, Ee Bwana Mungu Mwenyezi.
Bahari na ivume na vyote viijazavyo,
Ulimwengu nao wanaokaa ndani yake.
Mito na ipige makofi,
Milima na iimbe pamoja kwa furaha.
K. Matendo yako ni makuu, Ee Bwana Mungu Mwenyezi.
Mbele za Bwana;
Kwa maana anakuja aihukumu nchi.
Atauhukumu ulimwengu kwa haki,
Na mataifa kwa adili.
K. Matendo yako ni makuu, Ee Bwana Mungu Mwenyezi.
Shangilio la Injili
1Thes. 2:13Lipokeeni neno la Mungu, siyo kama neno la wanadamu, bali kama neno la Mungu.
Aleluya.
Injili
Lk. 21:12-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni