Dominika ya 33 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Dan. 12:1-3Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 16:5,8-11Mungu unihifadhi mimi, kwa maana nakukimbilia Wewe.
Bwana ndiye fungu la posho langu,
Wewe unaishika kura yangu.
Nimemweka Bwana mbele yangu daima,
Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
K. Mungu unihifadhi mimi, kwa maana nakukimbilia Wewe.
Kwa hiyo moyo wangu unafurahi,
Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Maana hutaiacha nafsi yangu kuzimu,
Wala hutamto mtakatifu wako aone uharibifu.
K. Mungu unihifadhi mimi, kwa maana nakukimbilia Wewe.
Utanijulisha njia ya uzima,
Mbele ya uso wako ziko furaha tele.
Na katika mkono wako wa kuume,
Mna mema ya milele.
K. Mungu unihifadhi mimi, kwa maana nakukimbilia Wewe.
Somo la Pili
Ebr. 10:11-14, 18Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Ufu. 2:10Uwe mwaminifu hata kufa, asema Bwana; Nami nitakupa taji ya uzima.
Aleluya.
Injili
Mk. 13:24-32Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni