JUMATANO YA 6 YA PASAKA
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo. 17 :15, 22-18:1Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 148:1-2, 11-14Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu.
Aleluya.
Msifuni Bwana kutoka mbinguni;
Msifuni katika mahali palipo juu.
Msifuni. enyi malaika zake wote;
Msifuni, majeshi yake yote.
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu.
Wafalme wa dunia, na watu wote,
Wakuu, na makadhi wote wa dunia.
Vijana waume, na wanawali,
Wazee, na watoto.
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu.
Na walisifu jina la Bwana,
Maana jina lake peke yake limetukuka;
Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu.
Naye amewainulia watu wake pembe,
Sifa za watauwa wake wote;
Wana wa Israeli, watu walio karibu naye.
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu.
Shangilio la Injili
Yn 14 : 16Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele
Aleluya.
Injili
Yn. 16:12-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni