Jumanne ya 30 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Efe. 5:21 – 33Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 128:1 – 5Heri kila mtu amchaye Bwana.
Heri kila mtu amchaye Bwana,
Aendaye katika njia yake.
Taabu ya mikono yako hakika utaila;
Utakuwa heri, na kwako kwema.
K. Heri kila mtu amchaye Bwana.
Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao,
Vyumbani mwa nyumba yako.
Wanao kama miche ya mizeituni
Wakiizunguka meza yako.
K. Heri kila mtu amchaye Bwana.
Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana.
Bwana akubariki toka Sayuni;
Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako.
K. Heri kila mtu amchaye Bwana.
Shangilio la Injili
1Pet. 1:25Neno la Bwana hudumu hata milele, na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu.
Aleluya.
Injili
Lk. 13:18-21Akasema mara ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu? Umefanana na chachu aliyotwaa mwanamke akaisitiri ndani ya pichi tatu za unga, hata ukachacha wote pia.
Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni