DOMINIKA YA 6 YA PASAKA
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo. 15 :1-2, 22-29Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 67:1-5, 7,Mungu na atufadhili na kutubariki,
Na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulike duniani,
Wokovu wake katikati ya mataifa yote.
(K)Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Mataifa na washangilie,
Naam, waimbe kwa furaha,
Maana kwa haki utawahukumu watu,
Na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
(K)Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Watu na wakushukuru, Ee Mungu,
Watu wote na wakushukuru.
Mungu atatubariki sisi;
Miisho yote ya dunia itamcha Yeye.
(K)Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Somo la Pili
Ufu. 21 : 10-14, 22-23Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn. 14 : 23Yesu alisema: Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Yn. 14:23-29Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni