Futa akaunti
Akaunti moja inatumika kwenye programu ya Shajara Pro na tovuti hii. Ukiifuta, inafutwa kote.
Kufuta ni kwa kudumu.
Akaunti na taarifa zako haziwezi kurudishwa baada ya kufutwa.
Njia 1: Kwa barua pepe
Weka barua pepe ya akaunti yako. Tutatuma kiungo cha kuthibitisha. Akaunti itafutwa ukibonyeza kiungo hicho tu.
Au ingia ufute moja kwa moja.
Njia 2: Tuma ombi kwa barua pepe
Kama huwezi kufikia barua pepe yako, tuandikie shajara@mkatolikileo.com ukiweka barua pepe au namba ya simu uliyosajilia.
Taarifa zinazofutwa
- Taarifa za wasifu: jina, barua pepe, namba ya simu, tarehe ya kuzaliwa na picha
- Neno siri na vipindi vyote vya kuingia, ikiwemo kwenye programu
- Maoni, ulichopenda, alama na maandishi uliyowekea alama kwenye Biblia
Muda wa kufuta
Akaunti inafutwa papo hapo ukithibitisha. Maombi yanayotumwa kwa barua pepe yanakamilishwa ndani ya siku 30, isipokuwa pale sheria inapotutaka kutunza taarifa fulani.
English summary
To delete your Shajara Pro / Mkatoliki Leo account, sign in and confirm with your password, or enter your email above to receive a confirmation link. You can also email shajara@mkatolikileo.com. Your profile, login credentials, comments, likes and Bible bookmarks/highlights are deleted permanently. Requests made by email are completed within 30 days.